Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Idadi ya watu walofariki katika mashambulizi ya Israel ni watu 100 na zaidi ya watu 820 kujeruhiwa.Hali hii imetokea tu walipovamia walowezi nchi ya Palestina katika ukanda wa Ghaza na Ndege za kivita, aidha hali hii kutokea si mara ya kwanza na kukalia kimya suala hili Jumuiya za Kimataifa ukizingatia wanaouawa ni Watoto wa dogo na akina Mama na watu wasokua na hatia.
18 Novemba 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 366133
Idadi ya watu walofariki katika kashambulizi ya Israel ni watu 100 na zaidi ya watu 820 kujeruhiwa.